Mwangaza unaoonekana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Mwangaza''' ni tabia ya [[nyota]] inayosaidia kuzitofautisha baina yake. Kuna tofauti kati ya '''mwangaza unaoonekana''' (ing. ''[[:en:apparent magnitude|apparent magnitude]]'') na '''mwangaza halisi''' (ing. ''[[:en:absolute magnitude|absolute magnitude]]'').
 
Umbali kati ya vitu kwenye anga la -nje ni kubwa sana. Nyota kubwa kama iko mbali inaweza kuonekana hafifu, nyota ndogo kama iko karibu inaonekana angavu sana.
 
* '''Mwangaza unaoonekana''' ni kipimo cha ukali wa nuru wa gimba la angani jinsi unavyoonekana kwa mtazamaji kwenye dunia yetu. Unatajwa kwa namba na kizio chake ni magnitudo, kifupi mag. Jinsi uang‘avu ulivyo juu ndivyo kiasi cha "mag" kinakuwa kidogo.<ref>Robert Bruce Thompson; Barbara Fritchman Thompson, ''Astronomy Hacks'' (Sebastopol, CA: O'Reilly, 2005), p. 88</ref> Kitu ang‘avu zaidi angani ni jua letu lenye uang‘avu unaonekana wa -−26,73 mag. Nyota ya [[Rijili Kantori]] ( [[:en:Alpha Centauri]]) inaonekana ang‘avu kuliko nyota kubwa zaidi ya [[Ibuti la Jauza]] kwa sababu iko karibu zaidi na dunia.