Mae Jemison : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Dr. Mae C. Jemison, First African-American Woman in Space - GPN-2004-00020.jpg|thumb|250px|Mae Jemison]]
'''Mae Carol Jemison''' (alizaliwa [[tarehe]] [[17 Oktoba]] [[1956]]) ni [[mwanakemia]], [[tabibu]] na [[mwanaanga]] wa [[Marekani]]. Pia ni [[Wamarekani weusi|Mmarekani mweusi]] [[Mwanamke|wa kike]] wa kwanza aliyefika kwenye [[anga la nje|anga-nje]].
 
Mwaka [[1987]] alijiunga na [[NASA]] akateuliwa kushiriki katika [[safari]] ya 50 ya mradi wa [[space shuttle]] kwenye mwaka 1992 aliposimamia majaribio ya kiganga katika [[hali pasipo graviti]].