Sputnik 1 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Sputnik asm.jpg|thumb|340px]]
'''Sputnik 1''' ([[Kirusi]] '''Спутник''' kwa maana msindikizaji) ilikuwa [[satelaiti|satelaiti]] ya kwanza iliyotengenezwa na binadamu na kuzunguka Dunia katika [[anga la nje|anga-nje]]. Ilitengenezwa katika [[Umoja wa Kisovieti]] na kurushwa angani tarehe [[4 Oktoba]] [[1957]] kutoka kituo cha [[Baikonur]] (leo nchini [[Kazakhstan]]).
 
Sputnik 1 ilikuwa na umbo la tufe lenye kipenyo cha sentimita 58 na masi ya kilogramu 83.6. Ilikuwa na [[antena]] mbili zenye urefu wa mita 2.4 na 2.9. Ilibeba vifaa vya kupima jotoridi ndani yake pamoja na shinikizo la gesi iliyo mwilini mwake [[transmita ya redio]] iliyorusha vipimo hivi kupitia antena.