Wingu Kubwa la Magellan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 23:
Masi ya Wingu Kubwa ya Magellan ni takriban sehemu ya kumi ya Njia Nyeupe (galaksi yetu). Kipenyo chake ni takriban miakanuru 14,000 (Njia Nyeupe ni zaidi ya 100,000). Umbo lake halifuati muundo maalumu sana kama galaksi nyingi. Kuna mkusanyiko wa nyota na mata nyingi katika kitovu chake <ref>[https://www.eso.org/public/news/eso1021/ A Cosmic Zoo in the Large Magellanic Cloud], tovuti ya European Southern Observatory, tar. 1 Juni 2010, iliangaliwa Oktoba 2017</ref> na pia mkono mmoja tu mwenye umbo la parafujo<ref>[linganisha http://adsabs.harvard.edu/full/1955AJ.....60..126D de Vaucouleurs, G. (1955), Diemsnsions and Structure of the Large Cloud], Astronomical Journal Vol 60, p 126ff, tovuti ya harvard.edu, iliangaliwa Oktoba 2017</ref> . Umbo lake ni dalili ya kwamba athari ya graviti ya Njia Nyeupe na Wingu Ndogo kwa pamoja zilivurugisha mfumo wa awali wa Wingu Kubwa ambao labda ilikuwa la parafujo.<ref>[http://iopscience.iop.org/article/10.3847/0004-637X/825/1/20/pdf Besla. G. et al: "Low Surface Brightness Imaging of the Magellanic System: Imprints of Tidal Interactions between the Clouds in the Stellar Periphery"], (2016). The Astrophysical Journal. 825 (1): 20, tovuti ya Institute of Physics IOP science publishing, iliangaliwa Oktoba 2017</ref>
 
Wingu Kubwa inatembea kwenye anga la -nje kwa kasi ya kilomita 378 katika kila sekunde, pamoja na Wingu Dogo lenye kasi ya 302 km/sec. Hapa wataalamu hawana uhakika kama mawingu yote mawili ni sehemu ya mfumo wa Njia Nyeupe zikishikwa na graviti yake na kuizunguka, au kama ni galaksi geni zinazopita tu karibu na Njia Nyeupe.<ref>[https://www.cfa.harvard.edu/news/2007-02 Magellanic Clouds May Be Just Passing Through], tovuti ya Harvard-Smithsonian Center for Astrophysics, release Release No.: 2007-02 / January 9, 2007; iliangaliwa Oktoba 2017</ref>
 
==Tanbihi==