Kutubu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 26:
 
==Tabia==
Kutubu iko kwa umbali wa [[miaka ya nuru|miaka nuru]] takriban 323 - 433 kutoka [[Jua]] letu, tofauti ya namba inatokana na vipimo vinavyoofautiana hadi sasa bila kupata usuluhisho<ref>Turner & alii (2013)</ref>. [[Mwangaza unaoonekana]] ni mag 1.98.
 
Kutubu ni [[nyota maradufu]] yenye sehemu tatu : nyota kuu inayojulikana kama α Umi Aa (au A<sup>1</sup>) inayozungukwa na msindikaji mdogo α Umi Ab (au A<sup>2</sup>) na hizi mbili zinazungukana na nyota ya tatu α Umi B kitovu cha graviti cha pamoja.