Mizari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 28:
 
==Tabia==
Mizari ipo kwa umbali wa miaka ya nuru takriban 86 kutoka Jua letu. [[Mwangaza unaoonekana]] ni mag 2.27. Mtu mwenye macho mema anatambua kando yake nyota dhaifu zaidi inayoitwa Alcor hivyo Mizar na Alcor ni jozi maarufu ya nyota. Haijulikani bado kama ni nyota Maradufu hali halisi zilizoungwa pamoja kwa gravity au la.
 
Lakini kwa darubini Mizar yenyewe ilitambuliwa kuwa [[nyota maradufu]]. Galileo Galilei aliweza kuona sehemu zake mbili alipokuwa mtu wa kwanza wa kutazama nyota kwa darubini. Sehemu hizi mbili zinaitwa Mizari A na Mizari B.