Tinini (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 19:
Tinini - Draco ni kundinyota kubwa lenye nyota nyingi.
 
<big>γ</big> Gamma Draconis au “[[Etanin]]" ni nyota angavu zaidi. Ina [[mwangaza unaoonekana]] wa 2.2 ikuwa na umbali unaokadiriwa kuwa [[miaka ya nuru|miakanuru]] 148<ref>[http://www.constellation-guide.com/constellation-list/Draco-constellation/ Draco], tovuti ya Constellation Guide, iliangaliwa Oktoba 2017</ref>. Mwendo wake katika [[anga la nje|anga-nje]] unaelekea kwetu na katika miaka milioni 1.5 itakaribia hadi umbali wa miakanuru 28 na kuwa nyota angavu kabisa angani<ref>[http://stars.astro.illinois.edu/sow/eltanin.html Eltanin (Alfa Draconis)], Tovuti ya Prof. Jim Kaler</ref>.