Roskosmos : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Roscosmos logo ru.svg|200px|thumb|right|Nembo ya Roskosmos]]
'''Roskosmos''' ([[rus.]] Роскосмос) ni jina la kifupi la shirika la serikali ya [[Urusi]] kwa shughuli za kiraia kwenye [[anga ya nje|anga-nje]]. Jina kamili kwa [[Kirusi]] ni Государственная корпорация по космической деятельности (''gosudarstvenaya korporatsiya po kosmocheskoi deyatelnosti'' "shirika ya kiserikali ya shughuli za angani").
 
Shirika hili lilianzishwa tarehe 1 Januari 2016 kwa amri ya rais [[Vladimir Putin|Putin]] likachukua nafasi ya mamlaka ya kitangulizi yenye jina lilelile.<ref>[http://tass.ru/en/science/847295 Russian space agency gets replaced by state corporation — Kremlin], [[TASS]] 2015-12-28, ikitazamiwa 2016-02-02</ref><ref>[http://nasawatch.com/archives/2015/12/putin-formally.html Russian Space Follies], NASA Watch 2015-12-30, ikiangaliwa tar. 2016-02-02</ref>ROSKOSMOS iliyounganishwa na Shirika la Roketi na Anga ya Njeanga-nje (Объединенная ракетно-космическая корпорация, United Rocket and Space Corporation)iliyowahi kutengeneza [[vyombo vya anga]].
 
Roskosmos mpya inahusika na miradi yote ya kiraia (tofauti na miradi ya kijeshi) ya Urusi kwenye anga. Makao makuu yapo Moscow na kituo cha kufunza wanaanga kipo kwenye "Mji wa nyota" ([[Swjosdny Gorodok]]). Kituo cha kurusha roketi kinapatikana [[Baikonur]] nchini [[Kazakhstan]] iliyokuwa kituo cha [[Umoja wa Kisovyeti]].