Tofauti kati ya marekesbisho "Ibuti la Jauza"

no edit summary
d (Protected "Ibuti la Jauza" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho)))
 
Ni nyota angavu ya [[tisa]] kati ya nyota zote zinazoonekana [[anga|angani]] na nyota angavu ya pili kwenye Sayadi (Orion). Uangavu wake unachezacheza kati ya vipimo vya 0.2 na 1.2.<ref>Davis, Kate (AAVSO Technical Assistant, Web) 2000. Variable star of the month: Alpha Orionis. ''American Association of Variable Star Observers'' (AAVSO). [http://www.aavso.org/vsots_alphaori]</ref>
 
[[Umbali]] wake na [[dunia]] ulikadiriwa mnamo mwaka [[2008]] kuwa [[miaka ya nuru|miakanuru]] 640<ref>Harper, Graham M. ''et al''. 2008. A new VLA-Hipparcos distance to Betelgeuse and its implications. ''The Astronomical Journal'' '''135''' (4): 1430–40. [http://iopscience.iop.org/1538-3881/135/4/1430/]</ref>
 
==Hali ya nyota==