Chura (nyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 14:
 
==Tabia==
Chura - Diphda ni nyota jitu jekundu yenye [[mwangaza unaoonekana]] wa mag 2.04. Iko kwa umbali na Dunia wa [[miaka ya nuru|miaka nuru]] 96.
Masi ya Chura ni [[M☉]] 2.8 na nusukipenyo chake [[R☉]] 15<ref>Sägesser, S. N.; Jordan, C. (March 2005), uk 1</ref> (vizio vya kulinganisha na Jua letu) . [[Mwangaza halisi]] ni -0.13 ikiwa katika [[kundi la spektra]] "K0 III".