Elon Musk : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 25:
===SpaceX===
Baada ya kuondolewa katika ukurugenzi wa eBay Musk aliona maana ya kuboresha [[usafiri wa anga la nje|usafiri wa anga-nje]]. Mwaka 2001 alitunga mpango wa kuanzisha kituo cha "Mars Oasis" kwenye [[Mirihi|sayari ya Mirihi]]<ref>[http://www.spaceref.com/news/viewsr.html?pid=3698 MarsNow 1.9 Profile: Elon Musk, Life to Mars Foundation], blogu ya spaceref.com ya Septemba 2001, iliangaliwa Machi 2019</ref> akajaribu kununua roketi kubwa nchini [[Urusi]]. Alipoona bei zilikuwa juu mno alianza kutafakari uwezekano wa kuunda roketi mwenyewe akikadiria ya kwamba roketi zilizotengenezwa na taasisi za kiserikali kama [[NASA]] zilikuwa ghali mno.
Baada ya kupokea mapato kutokana na hisia za Paypal aliwekeza pesa yake katika kampuni mpya ya "Space Exploration Technologies" (teknolojia za utafiti wa anga
SpaceX ilifaulu mwaka 2008 mara ya kwanza kufikia anga
Roketi nyingine ni Falcon 9 na Heavy Falcon, kuna pia chombo cha angani cha SpaceX Dragon inayopeleka mizigo kutoka duniani kwenda [[Kituo cha Anga cha Kimataifa]]. Mwaka 2019 aina mpya ya Dragon itasafirisha pia wanaanga kwenda Kituo cha Anga cha Kimataifa.
|