Dunia : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 19:
[[Umbo]] la dunia linafanana na [[tufe]] au [[mpira]] unaozunguka kwenye mhimili wake. "Mhimili wa dunia" ni [[mstari]] kati ya [[ncha]] zake.
Lakini si tufe kamili. Ina [[uvimbe]] kidogo kwenye sehemu ya [[ikweta]]; ilhali [[umbali]] kati ya ncha mbili ni [[kilomita]] 12,713 lakini umbali kati ya sehemu za kinyume kwenye ikweta ni km 12,756, yaani [[kipenyo]] hiki kinazidi takriban kilomita 43 kipenyo kati ya ncha na ncha. Tofauti hii inasababishwa na [[mzunguko]] wa dunia. [[Kani nje]] inasukuma sehemu za ikweta nje zaidi. Kwa hiyo mahali duniani palipo karibu zaidi na anga
[[Picha:MapW.png|thumbnail|Nusutufe ya dunia yenye maji mengi ]]
Mstari 110:
== Angahewa ==
Hewa iliyoko juu ya ardhi vile vile ina matabaka mbalimbali, na kila tabaka lina kazi yake. Hewa kwa jumla ina masafa ya kiasi cha kilomita 560 au [[maili]] 348 kuendea juu, na baada ya hapo unaingia kwenye anga
== Tazama pia ==
|