Idi Amin : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d Masahihisho aliyefanya Athanas chrisostom (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
Mstari 3:
[[Picha:Amin is carried.jpg|thumb|250px|Idi Amin akibebwa kifalme na [[wafanyabiashara]] [[Waingereza]] huko [[Kampala]].]]
'''Idi Amin Dada''' (/ˈiːdi ɑːˈmiːn/;  [[1923]]–[[1928]] – [[16 Agosti]] [[2003]]) alikuwa [[mwanasiasa]] na [[afisa]] wa [[jeshi]] ambaye alipata kuwa [[Rais]] wa [[Uganda]] kuanzia [[mwaka]] [[1971]] hadi [[1979]]. Alitawala [[dikteta|kidikteta]] ilhali [[uchumi]] wa nchi uliporomoka na makosa mengi ya [[jinai]] dhidi ya [[haki za kibinadamu]] yalitendwa.
 
Alikuwa dikteta wa uganda
[[Idadi]] ya watu waliouawa Uganda chini ya [[utawala]] wake imekadiriwa kuwa kati ya 100,000<ref name="Ullman1978">{{cite journal|last=Ullman|first=Richard H.|title=Human Rights and Economic Power: The United States Versus Idi Amin|journal=[[Foreign Affairs]]|date=April 1978|url=http://www.foreignaffairs.com/articles/29141/richard-h-ullman/human-rights-and-economic-power-the-united-states-versus-idi-ami|accessdate=26 March 2009|quote=The most conservative estimates by informed observers hold that President Idi Amin Dada and the terror squads operating under his loose direction have killed 100,000 Ugandans in the seven years he has held power.}}</ref> na 500,000.<ref name="guardian_obit">{{cite news|last=Keatley|first=Patrick|title=Obituary: Idi Amin|url=https://www.theguardian.com/news/2003/aug/18/guardianobituaries|work=[[The Guardian]]|date=18 August 2003|accessdate=18 March 2008|location=London}}</ref>