Dalufnin (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 12:
Jina la Dalufnin linatokana na Kiarabu دلفين dulfin ambalo ni umbo la jina asilia la [[Kigiriki]] δελφίς ''delfis'' (baadaye ''delphinus'' kwa tahajia ya [[Kilatini]]<ref>Shina la δελφίς ''delfis'' ni δελφιν- ''delfin-'' jinsi inavyoonekana katika [[uhusika milikishi]] wake δελφινις ''delfinis'' na kutoka hapa umbo ndefu zaidi liliingia katika Kilatini</ref>) ambayo ni jina kwa [[nyangumi]] mdogo mwenye meno anayeitwa [[pomboo]] kwa [[Kiswahili]].
 
[[Wagiriki wa Kale]] waliwatazama akina pomboo kama wasaidizi wa mabaharia<ref>Kuna hadithi nyingi kuhusu pomboo waliosaidia mabaharia walioanguka baharini na kuwabeba hadi mwambao, ling. Allen uk. 200</ref> na viumbe watakatifu kwawa miungu kama Poseidon (mungimungu wa bahari). KutokanaImani haopahii kunailileta hadithi mbalimbali katika [[mitholojia ya Kigiriki]] waliotekelezaambako pomboo walitekeleza shughuli kwa niaba ya miungu yao. <ref>ling. Allen, Star-Names and their Meanings uk, 199</ref>
 
Delphinus - Dalufnin ni kati ya makundinyota yaliyotajwa tayari na [[Klaudio Ptolemaio]] katika karne ya 2 BK. Iko pia katika orodha ya makundinyota 88 ya [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] kwa jina la Delphinus. Kifupi chake rasmi kufuatana na [[UKIA]] ni 'Del'. <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Oktoba 2017</ref>