Content deleted Content added
No edit summary
d remove {{}} which seem inappropriate
 
Mstari 83:
Allaah Anasema:
 
{{(Atakunusuru) kama alivyokutoa Mola wako katika nyumba yako kwa haki, na kundi moja la walioamini halipendi (utoke).
 
Wakabishana nawe katika haki baada ya kubainika kwenda huko kama kwamba wanasukumwa katika mauti na huku wanaona.
Mstari 89:
Na Allaah alipo kuahidini kuwa moja katika makundi mawili ni lenu. Nanyi mkapenda lisilo na nguvu ndio liwe lenu; na Allaah anapenda ahakikishe Haki kwa maneno yake, na aikate mizizi ya makafiri.
 
Ili ahakikishe Haki na auvunje upotovu na wangechukia wakosefu.}}
 
[Suuratul-Anfaal: 5-8]
Mstari 103:
Kisha akainuka Al-Mikdaad bin ‘Amru (Radhiya Allaahu ‘anhu) akasema:
 
“Ewe Mtume wa Allaah, nenda kama atakavyokuonyesha Allaah, na sisi tuko nyuma yako. WaLlaah hatukuambii kama walivyomuambia wana wa Israili Mtume wao Muusa: {{Nenda wewe na Mola wako mkapigane vita sisi tutakaa hapa (tunangoja)}}. Bali tunakwambia: ‘Nenda wewe na Mola wako ukapigane na sisi pamoja nanyi tutapigana …”
 
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) akasema: ((Vyema)) Kisha akamuombea du’ah.
Mstari 159:
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) hakusema uongo, kwani viumbe vyote vinatokana na maji. Allaah anasema:
 
{{Na tukafanya kwa maji kila kitu kilicho hai.}} [Suuratul-Anbiyaa:30]
 
== Waislam Wanapata Habari Muhimu Kuhusu Jeshi La Makuraysh ==
Mstari 241:
Allaah Anasema:
 
{{Alipo kufunikeni kwa usingizi uwe ni uaminisho kutoka kwake, na akakuteremshieni maji kutoka mbinguni ili kukusafisheni kwayo na kukuondoleeni uchafu wa Shaytwaan, na kuzipa nguvu nyoyo zenu, na kuitia imara miguu yenu.}} [Suuratul-Anfaal: 11]
 
== Jeshi La Waislam Linatangulia Kukamata Sehemu Muhimu ==
Mstari 329:
Allaah anasema:
 
{{Na mlipo kutana akakuonyesheni machoni mwenu kuwa wao ni wachache, na akakufanyeni nyinyi ni wachache machoni mwao, ili Allaah atimize jambo lilio kuwa liwe. Na mambo yote hurejezwa kwa Allaah. Enyi mlio amini! Mkikutana na jeshi, basi kueni imara, na mkumbukeni Mwenyezi Mungu sana ili mpate kufanikiwa.}} [Suuratul-Anfaal: 44-45]
 
Majeshi yalipoanza kupambana, Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) akaingia ndani ya lile hema, yeye na Abu Bakar (Radhiya Allaahu ‘anhu) peke yao, na hapana mwengine aliyeingia humo gheri yao, Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) akaanza kuomba du’ah huku akisema:
Mstari 377:
Allaah Anasema:
 
{{Hamkuwauwa nyinyi lakini Allaah ndiye aliye wauwa. Na wewe hukutupa, pale ulipotupa, walakini Allaah ndiye aliye tupa, ili awajaribu Waumini majaribio mema yatokayo kwake. Hakika Allaah ndiye Msikizi na Mjuzi. Ndio hivyo! Na hakika Allaah ni Mwenye kudhoofisha vitimbi vya makafiri.}} [Suuratul-Anfaal: 17 18]
 
Kisha Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) akawaambia Swahaabah zake (Radhiya Allaahu ‘anhum):
Mstari 395:
 
{{Mlipo kuwa mkimuomba msaada Mola wenu Mlezi, naye akakujibuni kuwa: Kwa yakini Mimi nitakusaidieni kwa Malaika alfu wanao fuatana mfululizo.
 
Na Allaah hakufanya haya ila kuwa ni bishara na ili nyoyo zenu zituwe. Na haupatikani ushindi ila kutoka kwa Allaah. Hakika Allaah ni Mwenye nguvu, na Mwenye hikima.
Mstari 405:
Hayo ni kwa sababu wamemuasi Allaah na Mtume wake. Na mwenye kumuasi Allaah na Mtume wake basi Allaah ni Mkali wa kuadhibu.
 
Ndio hivyo! Basi ionjeni! Na bila ya shaka makafiri wana adhabu ya Moto.}}
 
[Suuratul-Al Anfaal: 9–14]
Mstari 563:
Allaah anasema:
 
{{Na Allaah alikunusuruni katika (vita vya) Badr. Hali nyinyi mlikuwa dhaifu. Basi mcheni Allaah ili ili mpate kushukuru (kila wakati kwa neema zinazokujieni).}} [Suuratul-‘Imraan: 123]
 
Allaah, hapa anatujuulisha kuwa Yeye tu ndiye wa kutegemewa, na si viumbe vyake dhaifu. Yeye tu ndiye mwenye kuleta ushindi, na anayestahiki kukimbiliwa wakati wa dhiki, badala ya kuwakimbilia viumbe vyake dhaifu.
Mstari 571:
Allaah anasema:
 
{{Na Allaah alikunusuruni katika (vita vya) Badr. Hali nyinyi mlikuwa dhaifu.}}
 
Allaah aliwapa ushindi Waislam katika vita hivi juu ya uchache wao, wakati katika vita vya Hunain, kwa mara ya mwanzo Waislam walipigana vita idadi yao ikiwa kubwa zaidi kuliko ya makafiri lakini waliendeshwa mbio na makafiri mpaka Allaah alipowateremshia utulivu wake. Hakupata Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) kutoka na jeshi kubwa kuliko la siku hiyo, alitoka na watu elfu kumi na mbili, hata Waislam wakawa wanasema:
Mstari 579:
Allaah anasema:
 
{{Bila shaka Allaah amekunusuruni katika mapigano mengi, na siku ya Hunaiyn (pia) ambapo wengi wenu ulikupandisheni kichwa, lakini haukukufaeni chochote, na ardhi ikawa dhiki juu yenu ingawa ilikuwa yenye wasaa, kisha mkageuka mkarudi nyuma.}} [Suuratut-Tawbah: 25]
 
Anasema Imaam Ahmad bin Hanbal (Rahimahu Allaah) kuwa: