Sekta ya viwanda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tengua pitio 959666 lililoandikwa na MCDONALN ALOYCE FUTE (Majadiliano)
 
Mstari 8:
* viwanda vya kutengeneza feleji kutokana na malighafi asilia [[chuma]] na [[makaa mawe]]
* viwanda vya kutengeneza bidhaa za metali kutokana na feleji kama vile mashine, magari, meli, vifaa vya umeme
* viwanda vya kemia vinavyotumia malighafi kama [[mafuta ya petroli]] na [[minerali]] pamoja na madawa mbalimbali vikitoa kwa mfano [[mbolea]], [[saruji]], [[karatasi]], [[plastiki]], [[petroli]] au madawadawa yaza tiba.
* viwanda vya kutolea bidhaa za matumizi ya kila siku kama vile [[vyakula]], nguo, [[fenicha]], magazeti, vitabu au mahitaji ya ofisi.