Baba yetu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 134:
Katika "Bustani ya ufufuo" (Resurrection Gardens) [[Mji|mjini]] [[Nairobi]], [[mtaa]] wa [[Karen]], kuna maonyesho ya [[tafsiri]] ya Baba Yetu katika lugha [[Mia|mamia]]. Maneno yamechongwa na [[wasanii]] katika [[jiwe|mawe]], katika [[ubao]] au kuchorwa kwenye [[kigae|vigae]]. Hii inafuata mfano wa [[kanisa]] la Paternoster mjini [[Yerusalemu]] lenye tafsiri za Baba Yetu kwa lugha 140 kwenye vigae vya [[rangi]] (tazama Viungo vya Nje hapo chini).
 
=== Wimbo yawa Baba Yetu kwa Kiswahili ===
Kuna [[wimbo]] wa Baba Yetu katika [[muziki]] wa [[mchezo]] wa [[kompyuta]] "Civilization IV". Wimbo huu unasikika kila wakati wa kuanza mchezo. Ulitungwa na [[Christopher Tin]] kutoka [[Marekani]].
 
Wimbo ni wa kuvutia lakini kwa bahati mbaya maneno ya sala yamefupishwa kwa namna inayodokeza kwamba [[mhariri]] aliyepanga maneno kwa [[tuni]] na pia [[waimbaji]] hawakuelewa Kiswahili.