Mkate : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 43:
Mkate uliingia pia katika [[sala]] kuu ya [[Ukristo]] "[[Baba yetu]]", ambayo ilitungwa na [[Yesu Kristo]] mwenyewe na kuripotiwa katika [[Injili]] ya [[Injili ya Mathayo|Mathayo]] na [[Injili ya Luka|Luka]] ikiwa na tofauti ndogo kutokana na [[urefu]] wake.
 
Ombi la [[nne]] katika Mathayo linataja "mkate wa kila siku"<ref>The original word ἐπιούσιος (epiousios), commonly characterized as daily, is unique to the Lord's Prayer in all of ancient Greek literature. The word is almost a hapax legomenon, occurring only in Luke and Matthew's versions of the Lord's Prayer, and nowhere else in any other extant Greek texts. While epiousios is often substituted by the word "daily," all other New Testament translations from the Greek into "daily" otherwise reference hemeran (ἡμέραν, "the day"), which does not appear in this usage.[28][29][30][31][32][33][34][35][36][37][38]
Ombi la [[nne]] katika Mathayo linataja "mkate wa kila siku". Katika [[tafsiri]] za [[Kiswahili]] za sala hii ombi limetafsiriwa kwa njia mbili tofauti.
 
Via linguistic parsing, Jerome translated "ἐπιούσιον" (epiousios) as "supersubstantialem" in the Gospel of Matthew, but chose "cotidianum" ("daily") in the Gospel of Luke. This wide-ranging difference with respect to meaning of epiousios is discussed in detail in the current Catechism of the Catholic Church by way of an inclusive approach toward tradition as well as a literal one for meaning: "Taken in a temporal sense, this word is a pedagogical repetition of "this day," to confirm us in trust "without reservation." Taken in the qualitative sense, it signifies what is necessary for life, and more broadly every good thing sufficient for subsistence. Taken literally (epi-ousios: "super-essential"), it refers directly to the Bread of Life, the Body of Christ, the "medicine of immortality," without which we have no life within us."[39]
Utamaduni wa [[Waafrika]] wengi haukujua mkate kama chakula. Neno "mkate" kiasili kiliamaanisha kipande cha chochote kilichokatwa kutoka sehemu kubwa zaidi.
 
Epiousios is translated as supersubstantialem in the Vulgate (Matthew 6:11) and accordingly as supersubstantial in the Douay-Rheims Bible (Matthew 6:11).</ref>. Katika [[tafsiri]] za [[Kiswahili]] za sala hii ombi limetafsiriwa kwa njia mbili tofauti.
Wamisionari Wazungu Waluteri waliofika Afrika ya Mashariki walitoka Ujerumani ambako mkate si chakula cha kila mlo wakajua katekesimo ya Martin Luther ambako swali "Mkate wa kila siku unamaanisha nini" linajibiwa: "Chochote tunachohitaji kwa mwili na maisha kama vile kula, kunywa, nguo,viatu, nyumba, kaya, shamba...". Hapo waliona kuna neno la Kiswahili cha "riziki" kinachotaja maana ya chakula ambacho wakati ule hakikujulikana kwa Waafrika.
 
Utamaduni wa [[Waafrika]] wengi haukujua mkate kama chakula. Neno "mkate" kiasili kiliamaanishakilimaanisha kipande cha chochote kilichokatwa kutoka sehemu kubwa zaidi.
Wamisonari Wakatoliki walitoka nchi kama Ufaransa na Italia ambako mkate ulikuwa sehemu ya kila mlo kwa hiyo walitafuta neno linaloweza kutaja chakula chenyewe wakiona "mkate" unakatwa walichukua neno hili. Pamoja na utamaduni wao wa nyumbani walisisitiza zaidi ya kuwepo kwa Kristo katika chakula kinachoshirikishwa katika [[ekaristi]] kuwa chakula cha [[roho]] kilichotolewa na [[Yesu]] kama mkate wakati wa [[karamu ya mwisho]].
 
Wamisionari Wazungu WaluteriWalutheri waliofika Afrika ya Mashariki walitoka Ujerumani ambako mkate si chakula cha kila mlo wakajua katekesimo ya [[Martin Luther]] ambakoambamo swali, "Mkate wa kila siku unamaanisha nini?", linajibiwa: "Chochote tunachohitaji kwa mwili na maisha kama vile kula, kunywa, nguo,viatu, nyumba, kaya, shamba...". Hapo waliona kuna neno la Kiswahili cha "riziki" kinachotaja maana ya chakula ambacho wakati ule hakikujulikana kwa Waafrika.
 
WamisonariWamisionari Wakatoliki walitoka nchi kama Ufaransa na Italia ambako mkate ulikuwani sehemu ya kila mlo kwa hiyo walitafuta neno linaloweza kutaja chakula chenyewe wakiona "mkate" unakatwa walichukua neno hili. Pamoja na utamaduni wao wa nyumbani walisisitiza zaidi ya kuwepo kwa Kristo katika chakula kinachoshirikishwa katika [[ekaristi]] kuwa chakula cha [[roho]] kilichotolewa na [[Yesu]] kama mkate wakati wa [[karamu ya mwisho]].
 
== Picha ==