Kishawishi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
Mstari 4:
Kishawishi kinaweza kujianzia au kutokana na watu wengine, lakini [[dini]], kama vile [[Ukristo]], zinaweza kuona nyuma yake hasa uwepo wa [[nguvu za giza]], hususan [[shetani]] au [[ibilisi]].
 
Kishawishi chenyewe si dhambi, ila kama mtu akikikubali na kukifuata kwa [[hiari]].
==Adamu na Eva==
 
==Katika Biblia==
[[Biblia]] inasema sana kuhusu kishawishi na namna ya kukishinda. Vielelezo viwili, hasi na chanya, ni vile vya [[Adamu]] na [[Eva]] upande mmoja na [[Yesu Kristo]] upande mwingine.
 
===Adamu na Eva===
Katika [[Biblia]] kishawishi cha kwanza kiliwapata na kuwashinda [[Adamu]] na [[mke]] wake [[Eva]]. Tukio hilo maarufu kwa jina la [[dhambi ya asili]] limeathiri binadamu wote.
 
===Yesu===
[[Injili]] zinasimulia pia vishawishi vilivyompata [[Yesu]], hasa vitatu vilivyosababishwa na shetani [[jangwa]]ni, ambavyo Yesu alivishinda moja kwa moja na hivyo kutuelekeza namna ya kuvishinda vilevile.
 
Yesu alishawishiwa na Shetani kwa kuwa ni mtu kweli, akamshinda kwa niaba ya watu wote, akituonyesha namna ya kumtii [[Mungu]] moja kwa moja, “hata mauti, naam, mauti ya msalaba” ([[Fil]] 2:8).

“Kwa sababu kama kwa kuasi kwake mtu mmoja watu wengi waliingizwa katika hali ya wenye dhambi, kadhalika kwa kutii kwake mmoja watu wengi wameingizwa katika hali ya wenye haki” ([[Rom]] 5:19).
 
===Baba Yetu===
Sala ya [[Baba Yetu]] ambayo YesiYesu aliwafundisha [[Mitume wa Yesu|mitume wake]] inamalizika kwa kuomba [[ushindi]] dhidi ya vishavishi na ya Yule Mwovu ([[Math]] 6:13).
 
{{mbegu-dini}}
 
[[Category:Maadili]]
[[Jamii:Dini]]
[[Jamii:Ukristo]]