Njia Nyeupe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:NjiaMilky nyeupeWay anganiNight Sky Black Rock Desert Nevada.jpg|thumb|250px|Njia nyeupe jinsi inavyoonekana usiku (Mistaripicha mekunduilipigwa inaonyeshajangwani mipakapasipo yake;na sehemumachafuko ya chini imefichwa nawa mtinuru)]]
[[Picha:Hubble2005-01-barred-spiral-galaxy-NGC1300.jpg|thumb|250px|Galaksi yetu jinsi inaaminiwa kuonekana vile kama tunaiangalia kutoka juu; picha ya galaksi ya mbali yenye mikono miwili ya parafujo]]
'''Njia Nyeupe''' (kwa [[Kiingereza]] ''Milky Way''), pia '''majarra''' au "mkokoto wa kondoo za Sumaili" <ref>Yaani njia ya kondoo wa Ismaili; kuhusu majina ya nyota na sayari zilizojulikana kwa Waswahili na hivyo kuwa na majina asilia linganisha [[Jan Knappert]], The Cosmology of Swahili Islamic Literature, in: Swahili Islamic poetry, Brill 1971, Vol 1 uk 96-97 - taz google booksearch [http://books.google.de/books?id=yzsVAAAAIAAJ&pg=PA97&lpg=PA97&dq=swahili+milky+way&source=bl&ots=TTuUw8pwyY&sig=VpAq9mWXJ-BwDL5w0DwxouIpcGw&hl=de&ei=x9FATPawC4bG4AbppeDXDg&sa=X&oi=book_result&ct=result&resnum=1&ved=0CBUQ6AEwADgK#v=onepage&q=swahili%20milky%20way&f=false]</ref> ni [[jina]] la mlia mpana wa [[nyota]] nyingi unaoonekana [[Anga|angani]] wakati wa [[usiku]] kama [[wingu]] jeupe linalong`aa.
 
Hali halisi hii ni jinsi tunavyoona [[galaksi]] yetu ambamo [[mfumo wa jua|mfumo wa Jua letu]] pamoja na [[Dunia]] ni sehemu yakezake.
 
==Umbo na umbali==
Galaksi yetu imekadiriwa kuwa na nyota zaidi ya 300,000,000,000. Inafanana na kisahani chenye [[umbo]] la [[parafujo]]. [[Kipenyo]] cha kisahani hicho ni [[miakanuru]] 100,000 ikiwa na [[unene]] wa miakanuru 3,000.
 
Galaksi iliyo karibu zaidi angani inaitwa [[galaksi ya Andromeda|Andromeda]] ikiwa na [[umbali]] wa miakanuru [[milioni]] 2.5.
 
Isipokuwa [[sayari]] za juaJua letu na [[kometi]] ''(zinazoonekana mara chache tu)'' na [[galaksi ya Andromeda]] ''(inayoonekana kama nyota 1moja)'', nyota zote ni kama juaJua letu yaani tufe kubwa sana la gesi joto.
 
== Kuonekana kwa Njia Nyeupe kutoka duniani ==
[[Nyota]] karibu zote tunazoziona kwa [[macho]] yetu wakati wa usiku ni sehemu za Njia Nyeupe. WakatiKutegemeana na kiwango wacha [[giza]] tunaweza kuona kati ya nyota 3,000 hadi 56,000 bila msaada wa [[darubini]].
 
Si rahisi kuona nyota nyingi tukiwa [[Mji|mjini]], kwenye [[taa]] nyingi wakati wa usiku, kwa sababu mwanga wa taa za mjini unaakisiwa katika [[angahewa]] na kuzuia kuona mwangamianga kutokahafifu nje ya angahewa.
 
Idadi kubwa zaidi ya nyota za Njia Nyeupe hatuwezi kuona wala kubainisha, kwa hiyo zinatokea machoni kama [[ukungu]] mweupe tu.
 
Uwezo wetu wa kuona nyota nyingi zaidi umepunguzwa na idadikuwepo kubwakwa [[mavumbi ya nyota zilizopokinyota]] kati ya mahali petu na [[kitovu]] cha galaksi.
 
== Muundo ==
Galaksi yetu ina umbo la parafujo (spirali) ya kisahani. Mahali petu pamoja na juaJua pako kando kiasi ndani ya uwiano wa kisahani hiki. Tuko takriban 2/3 ya umbali wa kipenyo kutoka kitovu cha kisahani.
 
Ikitazamwa kutoka juu galaksi yetu ina umbo la parafujo lenyeyenye [[mikono]] mbalimbali. Picha hii tumeipata kutokana na kuangalia galaksi za mbali angani zinazoonekana kutoka juu ilhali parafujo inaonekana.
 
== Marejeo ==