Tofauti kati ya marekesbisho "Orodha ya Messier"

1 byte removed ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
 
'''Orodha ya Messier''' ''(tamka mes-ye; Messier Catalogue)'' ni [[orodha ya nyota]] iliyoandikwailiyotungwa na mwanaastronomia Mfaransa [[Charles Messier]] kati ya 1764 na 1782.
 
Messier alitafuta hasa nyotamkia angani akitumia darubini. Aliona pia magimba mengine yaliyoonekana kama [[nebula]] (wingu dogo linalong'aa) zisizotembea angani kwa hiyo hazikuwa nyotamkia. Akaamua kuziorodhesha.