Mkate : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 36:
== Mkate na utamaduni ==
Mkate kama chakula cha kila siku ni sehemu ya [[utamaduni]] wa nchi nyingi.
Nchi nyingine yenye matumizi makubwa zinapatikana katika maeneo ya Bahari Mediteranea, pamoja na Ulaya ya Kati<ref>[https://www.bizcommunity.com/Article/1/162/176273.html Global bread and bakery consumption continues to experience modest growth], tovuti ya bizcommunity.com ya 23 Apr 2018; inataja Uingereza na matumizi ya kg 96/mwaka ambayo hailingani kabisa na takwimu nyingine </ref>.
Mkate wa [[Ujerumani]] umekubaliwa katika orodha ya [[urithi wa Dunia]] ya [[UNESCO]], ilhali nchi hii inajivunia kuwa na aina nyingi za mkate.
Nje ya [[miji]] mikubwa kuna bado kawaida ya kuoka mikate [[Nyumba|nyumbani]] katika nchi kadhaa, hasa za [[Asia]]. ▼
▲Nje ya [[miji]] mikubwa kuna bado kawaida ya kuoka mikate [[Nyumba|nyumbani]] katika nchi kadhaa, hasa za [[Asia Magharibi]].
==Mkate na dini==
|