Chama cha Wananchi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:CUF_partylogo.png|thumb|300px|Nembo ya Civic United Front]]
'''Chama cha Wananchi''' au '''Civic United Front''' ('''CUF''') ni [[chama cha kisiasa]] nchini [[Tanzania]]. CUF iliwasilishwa rasmi mnamo [[Januari]] [[1993]].
 
CUF ilianzishwa mwaka [[1992]] kutokana na maungano ya shirika mbili. Hizi zilikuwa
# '''KAMAHURU''' kikundi cha kupambania [[demokrasia]] kwenye [[visiwa]] vya [[Unguja]] na [[Pemba]]
# '''Civic Movement''' iliyokuwa kundi la kupigania [[haki za binadamu]] la Tanzania [[bara]].
 
Kama ilivyo katika vyama vingine vipya zavya Tanzania, [[viongozi]] wengi waliwahi kuwa wanachama wa [[CCM]].
 
==Uongozi==
*[[Mwenyekiti]] : [[Profesa]] [IBRAHIM[Ibrahim LIPUMBALipumba]]
*[[Makamu wa]] Mwenyekiti: [[Machano Khamis Ali]]
*[[Katibu Mkuu]]: [[Seif Shariff Hamad]]
 
==Kura==
CUF ilishiriki katika [[Uchaguzi|chaguzi]] za kitaifa pia za Kizanzibari[[Zanzibar]].
 
Ilifaulu vizuri kwenye visiwa vya [[Zanzibar]], hasa Pemba, lakini ilibaki hafifu Tanzania bara. Hata hivyo ni chama kikubwacha pili cha upinzani katika [[bunge]] la Tanzania chenye wabunge 30 kati ya 324 kwa jumla.
 
===Zanzibar===
Katika [[kura]] za Zanzibar CUF ilifikia tokeo rasmi la 49.76[[%]] mwaka [[1994]] na 46.07% mwaka [[2000]]. Watazamaji waliona kila kura ilikuwa na kasoro na CUF haikukubali matokeo ikidai ya kwamba [[serikali]] ya [[SMZ]] ilibadilisha matokeo ya kweli.
 
Baada ya uchaguzi wa 2005 CUF inailikuwa na wabunge 19 katika bunge la Zanzibar.
 
==Viungo vya Nje==
*[http://www.cuftz.org/ Civic United Front] Tovuti rasmi
{{siasa ya Tanzania}}
 
{{mbegu-siasa}}
 
[[Category:Siasa ya Tanzania]]