Saint Helena : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 31:
|}
[[Picha:St Helena-Pos.png|thumb|200px|left|Mahali pa St. Helena mbele ya Afrika)]]
'''Saint Helena''' (maana kwa [[Kiingereza]]: [[Helena Mtakatifu|Mtakatifu Helena]]) ni [[kisiwa]] mbele ya [[Afrika]] ya [[Magharibi]] katika [[bahari]] ya [[Atlantiki]] ya [[kusini]] chenye eneo la 122 [[km²]] 122.
 
Umbali na [[Angola]] ni 1.868 [[km]] 1.868, ni km 3.290 km hadi [[Brazil]] ([[Amerika ya Kusini]]).
 
Kisiwa, chenye [[asili]] ya [[volkeno|kivolkeno]], kimo ndani ya beseni yala Angola ya baharila Atlantiki, hivyo huhesabiwa kuwa kisiwa cha Afrika.
 
Kiutawala ni [[eneo la ng'ambo la Uingereza]] na [[makao makuu]] ya [[kundi]] la visiwa vidogo pamoja na kisiwa cha [[Ascension]] na [[funguvisiwa]] yala [[Tristan da Cunha]].
 
[[Mji mkuu]] ni [[Jamestown]], wenye wakazi 900.
 
== Historia ya Wakazi ==
Wakazi 4,244 ([[2008]]) ni wa asili ya Kiulaya[[Ulaya]], KiafrikaAfrika na Kichina[[China]]. Wote wana [[uraia]] wa [[Uingereza]] wakitumia [[lugha]] ya [[Kiingereza]].
[[historia|Kihistoria]] Saint Helena haikuwahi kuwa na wakazi kabla ya kufika kwa [[Wareno]] [[mwaka]] [[1502]] [[BK]]: ndio waliojenga [[nyumba]] za kwanza bila kuacha wakazi wa kudumu.
 
Katika miaka iliyofuata palikuwa na mvutano kati ya Wareno, [[Waholanzi]] na [[Waingereza]].
 
Tangu mwaka [[1673]] [[Kampuni ya Kiingereza ya India ya Mashariki]] ilitawala kisiwa kama kituo cha safari za [[merikebu ya matanga]] kubwa kati ya Uingereza, [[Afrika ya Kusini]] na [[India]]. [[Kampuni]] ilianzisha [[mji]] wa [[Jamestown]] na ma[[shamba]] makubwa ya [[mboga]] kwa ajili ya ma[[baharia]] waliopita huko. Kwa ajili hiyo [[watumwa]] Waafrika walipelekwa Saint Helena; baada ya mwisho wa [[utumwa]] katika [[karne ya 19]] pia wafanyakazi [[Wachina]].
 
[[Picha:16 Napoleons exole St Helena June1970.jpg|thumb|200px|left|Longwood House, St Helena: nyumba alimoishi Napoleon wakati wa kufungwa kisiwani]]
== Napoleon ==
[[Jina]] la Saint Helena lilijulikanalilipata kujulikana kote [[duniani]] kutokana na kuwa mahali pa kufungwa kwa [[Kaisari]] [[Napoleon I.]] wa [[Ufaransa]]. Napoleon alikuwa [[kiongozi]] aliyeogopwa sana na kutawala sehemu kubwa ya [[Ulaya]] kwa miaka kadhaa mwanzoni wa karne ya 19.
 
Baada ya kushindwa mwaka [[1814]] huko [[Lipsia]] alitakiwa kubaki kwenye kisiwa cha [[Elba]] ([[Italia]]), lakini alitoroka na kuanza [[vita]] upya.
 
Baada ya kushindwa mara ya pili huko [[Waterloo]], Waingereza walimpeleka mahali pa mbali iwezekanavyo, St. Helena, mwaka [[1815]]. Hapo aliishi katika hali ya kufungwa akiwa na nyumba yake na [[watumishi]] wake, lakini alipaswa kuongozana kisiwani na ma[[afisa]] Waingereza waliomfuata kila alikoendaalikokwenda. Kwa ujumla Waingereza walipeleka St. Helena [[wanajeshi]] 2,000 pamoja na mabaharia wa kijeshi 500 ili wamlinde Napoleon wakiogopa ma[[jaribio]] ya Wafaransa kumwondoa na kumrudisha katika hali ya [[uhuru]].
 
Napoleon alikufa mwaka [[1821]] akazikwa kisiwani, lakini [[mwili]] wake ulihamishwa baadaye kwenda Ufaransa alikopewa [[kaburi]] la [[heshima]] [[Paris]] mjini.
 
Ufaransa ilinunua baadaye nyumba alimoishi kutoka kwa Uingereza kama mahali pa kumbukumbu[[makumbusho]] paya kitaifa pa Ufaransa hadi leo.
 
== Hali ya St. Helena leo ==
Kisiwa kinafikiwa kwa [[meli]] tu, haina [[kiwanja cha ndege]] kikubwa. Lakini hakuna [[meli za tanga]] tena zinazohitaji kusimama St. Helena na kuchukua [[maji]] pamoja na [[chakula]]. Hivyo hali ya [[uchumi]] ni duni.
 
Kuna [[uvuvi]] kidogo na [[utalii]] unaotegemea [[kumbukumbu]] ya Napoleon. Kuna meli moja tu ya kuhudumia St. Helena na visiwa vingine: inafika takriban mara [[mbili]] kwa [[Mwezi (wakati)|mwezi]]. [[Muda]] wa [[safari]] kati ya St. Helena na [[Namibia]] au [[Afrika Kusini]] ni [[siku]] 4 au 5.
 
Kwa ujumla kisiwa kinategemea misaada ya [[serikali]] ya Uingereza.
 
Mji mkuu ni [[Jamestown]], wenye wakazi 900.
{{Afrika}}