Ramadan (mwezi) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:هلال رمضان.jpg|thumb]].
 
'''Ramadhani''' au '''ramadan''', '''ramazani''' (kwa [[Kiarabu]] '''رمضان''') ni mwezi wa tisa katika [[Kalenda ya Kiislamu]] na mwezi wa [[saumu|kufunga]] katika [[Uislamu]] kuadhimisha ufunuo wa kwanza wa [[Korani|QuaraniQur'an]] kwa [[Muhammad]]. Mwezi huu huwa na siku 29 au 30 kutegemeana na kuonekana kwa [[mwezi]].
 
Kufunga ni moja ya Nguzo Tano za Uislamu. Mwislamu mzima, mwenye afya nzuri, anatakiwa kushiriki katika [[swaumu]] ambayo ni ibada ya [[kufunga chakula]] na [[kinywaji]] [[mchana]] kutwa, pamoja na kujizuia kufanya [[mapenzi]] toka [[alfajiri]] hadi [[magharibi]].