Pluto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Pluto" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
No edit summary
Mstari 12:
 
== Sayari au sayari kibete? ==
Pluto ilikuwa ikitambulika kama [[sayari]] ya [[tisa]] katika [[mfumo wa jua na sayari zakeJua]] toka mwaka [[1930]] hadi [[Agosti]] [[2006]]. [[Vipimo]] vipya vilileta wasiwasi juu ya swali: Je, sayari ni kitu gani?, hasa baada ya kugundua [[Gimba la angani|magimba]] ya ziada nje ya Pluto yanayokaribia ukubwa wake lakini hayafai kuitwa sayari.
 
[[Umoja wa kimataifa wa wanaastronomia]] uliondoa Pluto katika orodha ya sayari kwenye mkutano wake wa mwaka wa 2006. Badala yake wameiita [[sayari kibete]]. Hata hivyo baadhi ya [[wanaastronomia]] walipinga uamuzi huu.