Wanyiha : Tofauti kati ya masahihisho

66 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
[[Lugha]] yao ni [[Kinyiha]]. Kabila hili katika utamkaji wa maneno hufanana sana na [[Wasafwa]] na [[Wamalila]].
 
Wanyiha ni wapole na wasikivu. Baadhi ya koo za Kinyiha ni Mwashiozya, Mwashiuyà, Mwembe, Nzunda, n.k. [[Chifu]] wa Wanyiha ni [[Nzunda]].mwene
 
Wanyiha wamezungukwa na makabila mbalimbali wakiwemo [[Wasafwa]], [[Wandali]], [[Wanyakyusa]], [[Wabungu]] na [[Wanyamwanga]].
 
Wanyiha walio wengi ni [[wakulima]]: [[zao]] kuu la [[chakula]] ni [[mahindi]] wakati zao kubwa la [[biashara]] ni [[kahawa]].wanyiha wanaposaliana husema Mwakataa....afu MTU Wa PILI hujibu Ena.....
 
==Marejeo==
Anonymous user