Antoni Maria Claret : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
replacing deleted image
Mstari 1:
[[Picha:San Antonio María Claret (Museo Nacional del Romanticismo de Madrid).jpg|thumb|200px|Mtakatifu Antoni Maria Claret katika mavazi ya kiaskofu.]]
Antoni Maria Claret i Clarà alikuwa [[askofu]] wa [[Kanisa Katoliki]] kutoka [[Hispania]] na [[mwanzilishi]] wa mashirika mawili ya [[utawa|kitawa]] ya kimisionari.