Wanyiha : Tofauti kati ya masahihisho

48 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
'''Wanyiha''' ni [[kabila]] la [[watu]] wa [[ [[Tanzania]] ([[Wilaya ya Mbozi]], [[mkoa wa Songwe]]). Katika wilaya ya Mbozi Wanyiha wengi hupatikana [[magharibi]], hasa [[vijiji]] vya [[Itaka]], [[Nambizo]], Mbozi mission, [[Shiwinga]], [[Igamba]] na maeneo mengine ya huko. Pia upande wa [[mashariki]] utawakuta katika vijiji vya [[Nyimbili]], [[Idiwili]] n.k.
 
Tena wako [[Zambia]], [[Malawi]] na sehemu nyingine. Kwa jumla ni zaidi ya 600,000.
[[Lugha]] yao ni [[Kinyiha]]. Kabila hili katika utamkaji wa maneno hufanana sana na [[Wasafwa]] na [[Wamalila]].
 
Wanyiha ni wapole na wasikivu. Baadhi ya koo za Kinyiha ni Mwashiozya, Mwashiuyà, Mwembe, Nzunda, n.k. [[Chifu]] wa Wanyiha ni [mwene[Mwene]].
 
Wanyiha wamezungukwa na makabila mbalimbali wakiwemo [[Wasafwa]], [[Wandali]], [[Wanyakyusa]], [[Wabungu]] na [[Wanyamwanga]].
 
Wanyiha walio wengi ni [[wakulima]]: [[zao]] kuu la [[chakula]] ni [[mahindi]] wakati zao kubwa la [[biashara]] ni [[kahawa]].wanyiha wanaposaliana husema Mwakataa....afu MTU Wa PILI hujibu Ena.....
 
wanyiha wanaposalimiana husema: Mwakataa... Halafu mtu wa pili hujibu: Ena...
 
==Marejeo==