Kondoo (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
<sup>Kwa maana tofauti wa jina hili angalia [[kondoo]]. Kwa maana tofauti ya Hamali angalia hapa [[Mpagazi]]</sup>
 
[[Picha:Kondoo-Hamali Aries.png|400px|thumb|Nyota kuu za Kondoo (Hamali - Aries)]]
'''Kondoo''' (pia: '''Hamali''', '''[[:en:Aries|Aries]]''') ni [[kundinyota|kundinyota]] ya [[zodiaki]] linalojulikana pia kwa jina lake la kimagharibi la [[:en:Aries constellation|Aries]]<ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Aries" katika lugha ya [[Kilatini]] ni "Arietis" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Arietis, nk.</ref>. Hamali pia ni jina la kimataifa kwa nyota angavu zaidi kati kundinyota hili.