Kundinyota : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Sternbild orion.jpg|thumb|350px|Nyota za kundinyota Jabari (''Orion'') angani]]
[[Picha:OrionAsociación kundinyotaestelar OB1 de Orión Subgrupos.jpg|thumb|350px|Baada kuunganisha nyota za Jabari (Orion) kwa kuwaza mistari kunajitokeza picha ya mvindaji]]
[[Picha:Orion Picha.jpg|thumb|300px|right|Jabari (Orion) kama mvindaji alivyowazwa na [[Johann Bayer]] wakati wa karne ya 17 - alibadilisha kushoto na kulia maana alichora "kwa mtazamo kutoka juu"]]
[[Picha:Planisphæri cœleste.jpg|400px|thumb|Ramani ya anga inayoonyesha kundinyota kwa picha (uchoraji wa karne ya 17, Uholanzi)]]
'''Kundinyota''' (kwa [[Kiingereza]]: ''star constellation'') ni [[idadi]] ya [[nyota]] zinazoonekana [[Anga|angani]] kuwa kama [[kundi]] [[moja]].