Tofauti kati ya marekesbisho "Kaa (kundinyota)"

no edit summary
 
[[Image: Saratani Cancer.png |thumb|right|400px|Nyota za kundinyota Kaa (pia Saratani, lat. Cancer) katika sehemu yao ya angani]]
[[Picha:Cancer constellation map.png|400px|thumb|Ramani ya Kaa - Cancer jinsi inavyoonekana kwa mtazamaji kwenye nusutufe ya kaskazini]]
[[Picha:Sidney Hall - Urania's Mirror - Cancer.jpg|400px|thumb|Kaa - Saratani jinsi ilivyowazwa na msanii Hall]]
 
'''Kaa''' (pia: Saratani au <small>[[lat.]]</small>&<small>[[ing.]]</small> '''[[:en:Cancer (constellation)|Cancer]]'''<ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Cancer" katika lugha ya [[Kilatini]] ni "Cancris" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Cancris, nk.</ref> kwa Kilatini/Kiingereza) ni [[kundinyota]] la [[zodiaki]]. Ni moja ya makundinyota yanayotambuliwa na [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref>