Mizani (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image: Mizani Libra.png |thumb|right|400px|Nyota za kundinyota Mizani (Libra) katika sehemu yao ya angani]]
[[Picha:Libra constellation map.png|400px|thumb|Ramani ya Mizani - Libra jinsi inavyoonekana kwa mtazamaji kwenye nusutufe ya kaskazini]]
[[Picha:Sidney Hall - Urania's Mirror - Libra.jpg|400px|thumb|Mizani jinsi ilvyowazwa na msanii Hall]]
 
'''Mizani''' ni [[kundinyota|kundinyota]] la [[zodiaki]] inayojulikana pia kwa jina lake la kimagharibi la [[:en:Libra constellation|Libra]]<ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Libra" katika lugha ya [[Kilatini]] ni "Librae" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Librae, nk.</ref>. Ni moja ya makundinyota yanayotambuliwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia|Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref>