Jumamosi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile app edit Android app edit
d Masahihisho aliyefanya 197.250.97.223 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Addbot
Tag: Rollback
Mstari 7:
== Siku ya saba au siku ya sita? ==
Katika muundo wa juma wa kibiblia Jumamosi ni siku ya saba. Kanuni ya ISO 8601 ilibadilisha hesabu ya juma kufuatana na kawaida ya mapumziko ya "[[wikendi]]" kwenye siku za [[Jumamosi]]/[[Jumapili]]. Katika muundo huu Jumatatu hutazamiwa kama siku ya kwanza katika juma ya kazi hivyo inahesabiwa kama siku namba "1" ya wiki katika kalenda hivyo Jumamosi kuwa namba 6. Jumuiya za kidini zinasisitiza hesabu ya ki[[biblia]] na kawaida katika tamaduni nyingi inaendelea kutumia hesabu ya kale.
 
sio kweli kilichozungumzwa
 
 
== Jina la siku kwa Kiswahili na kwa lugha mbalimbali ==