Mfumo wa Jua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Sayari za jua letu.jpg|thumb|45px450px|Sayari za Jua letu - majina kwa Kiingereza na Kiswahili]]
[[File:Sayari za Jua - mlingano ukubwa.png|350px|thumb|Sayari nne kubwa ziliundwa hasa na gesi, nyingine ni sayari ndogo kama dunia yetu za mwamba.<ref>Hand, Eric (January 20, 2016).</ref>]]
'''Mfumo wa Jua''' (''[[:en:solar system]]'') ni mpangilio wa [[Jua]] letu, [[sayari]] na [[sayari kibete]] zinazolizunguka pamoja na [[Mwezi (gimba la angani)|miezi]] yao, [[asteroidi]], [[meteoridi]], [[kometi]] na [[vumbi la angani]], vyote vikishikwa na [[graviti]] ya Jua.