Mfumo wa Jua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 19:
 
== Sayari za jua letu ==
Kuna magimba 8 yanayozunguka Jua letu yanayoitwa sayari. Sayari za kwanza kuanzia Utaridi(ing. ''Mercury'') hadi [[Zohali]] (ing. Saturn) zinaonekana kwa macho. Tangu zamani zilipewa majina na watu. Sayari za mbali zaidi ziligunduliwa tu baada ya kupatikana kwa [[darubini]]. Hadi mwaka [[2006]] [[Pluto]] iliyopo nje ya mzingo wa Neptuni ilihesabiwa kuwa sayari, lakini baada ya azimio la [[Umoja wa Wanaastronomia|Umoja wa Wanaastronomia,]] Pluto inaitwa sasa "[[sayari kibete]]“, si sayari kamili tena.
 
Sayari ambazo zipo katika mfumo wa Jua ni kama zifuatazo:
Mstari 113:
|-
|}
 
Hadi mwaka [[2006]] [[Pluto]] iliyopo nje ya mzingo wa Neptuni ilihesabiwa kuwa sayari, lakini baada ya azimio la [[Umoja wa Wanaastronomia|Umoja wa Wanaastronomia,]] Pluto inaitwa sasa "[[sayari kibete]]“, si sayari kamili tena. Kwa sasa kuna magimba 5 yanayotambuliwa kama sayari kibete:
*[[1 Ceres|Ceres]]
*[[Pluto]]
*[[Haumea]]
*[[Makemake]]
*[[Eris (sayari kibete)|Eris]]
 
==Sayari za nyongeza?==