Nikola Kalinić : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Nikola Kalinić''' (alizaliwa 5 Januari 1988) ni mchezaji wa klabu ya Kroatia ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Hispania...'
 
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Nikola Kalinic - Croatia vs. Portugal, 10th June 2013 (crop).jpg|thumb|341x341px|'''Nikola Kalinic''']]
'''Nikola Kalinić''' (alizaliwa [[5 Januari]] [[1988]]) ni [[mchezaji]] wa [[klabu]] ya [[Kroatia]] ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya [[Hispania]] iitwayo Atlético Madrid na [[timu ya taifa]] ya [[Kroatia]].
Kalinić alianza kazi yake na klabu ya Hajduk Split iiliyopo nchini [[kroatia]] kabla ya kuhamia [[Uingereza]] katika klabu ya Blackburn Rovers kwa [[pauni|£]] 6,000,000 mwaka [[2009]].