Tofauti kati ya marekesbisho "Microsoft"

4 bytes removed ,  miaka 2 iliyopita
d
no edit summary
d
Kampuni hili linaendeleza, kutengeneza, kutoa leseni, kusaidia na kuuza programu za kompyuta, vifaa vya umeme,kompyuta binafsi pamoja na huduma zihusianazo na hizo. Programu yake ya kompyuta ijulikanayo sana ni mfumo ongozo wa kompyuta wa Microsoft Windows, na programu nyingine kama vile, Microsoft Office, na Internet Explorer pamoja na Edge Web. Vifaa vyake maarufu ni vifaa michezo vya Xbox pamoaja na mfumo wa kioomguso uitwao [[Microsoft Surface lineup]] kwa ajili ya kompyuta binafsi. Kwa mwaka wa 2016, ndilo kampuni kubwa duniani lenye kutengeneza programu za kompyuta kwa makusanyo ya jumla, na ni moja kati ya makampuni yenye thamani kubwa kuliko duniani. Neno "Microsoft" ni neno unganifu lilitokana na maneno ya kiingereza "microcomputer" and "software". Microsoft ni kampuni lililoko nafasi ya 30 katika orodha ya mwaka 2018 ya Fortune 500 ya mashirika makuu makubwa ya Marekani na mapato ya jumla.
 
Microsoft ilianzishwa na [[Bill Gates]] na [[Paul Allen]] mnamo April 4, mwaka 1975, ili kuendeleza na kuuza mifumo-ongozo rahisi kwa ajili ya kompyuta ndogo za [[Altair 8800]]. Kampuni hili liliinuka na kutawala soko la utengenezaji wa mifumo-ongozo ya kompyuta binafsi kupitia mfumo wake unaojulikana kama [[Microsoft- DatabaseDisk Operating System]] (MS-DOS) katikati miaka ya in 1980, ikifuatiwa na programu ya [[Microsoft Windows]].