Kongo ya Kibelgiji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: eo:Kongo Belga
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Flag of Congo KinshasaFree 1960State.svg|thumb|200px|Bendera ya Kongo ya Kibelgiji]]
 
'''Kongo ya Kibelgiji''' ni jina la [[koloni]] ya [[Ubelgiji]] katika [[Afrika ya Kati]] hasa katika [[beseni]] ya [[mto Kongo]] kati ya 1908 hadi 1960. Leo hii ni [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]. Kati ya 1925 hadi 1946 maeneo ya [[Rwanda]] na [[Burundi]] yalitawaliwa kama sehemu za Kongo ya Kibelgiji.