Libya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 53:
 
==Historia==
Wakazi asili walikuwa [[Waberber]]. Baadaye wakaja [[Wafoinike]] upande wa [[magharibi]] na [[Wagiriki]] upande wa [[mashariki]].
 
Hatimaye Libya ikamezwa na [[Dola la Roma]], na [[Ukristo]] ukaenea.
 
Baada ya dola hilo kuanguka, [[Wavandali]] waliteka sehemu kubwa ya nchi.
 
Katika karne ya 7 [[Waarabu]] waliingiza [[Uislamu]] na [[utamaduni]] wao.
Line 64 ⟶ 59:
 
Nchi ilitawaliwa na [[Waitalia]] tangu mwaka [[1911]] hadi [[1941]].
 
Vita vya Libya na Italia(1920), Ugerumani(1950) na N.A.T.O. (2012) virihakikisha Libya kuwa Jamhuriya ya kiarabu.
 
[[Waingereza]] waliacha nchi mwaka [[1951]] mikononi mwa mfalme mwenyeji.
Line 70 ⟶ 67:
 
Baada ya hapo wananchi wanazidi kupigana katika [[vita vya wenyewe kwa wenyewe]].
 
2019 Libya irikuwa kwenye vita vya serikali ya mapinzano ya jeshi la [[Hafter]] na majeshi ya [[Jemadali Bokelo]].
 
== Watu ==