Tofauti kati ya marekesbisho "Ugiriki ya Kale"

274 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
'''Ugiriki ya Kale''' ni kipindi katika historia ambapo Ugiriki ulipanuka katika eneo kubwa la [[Mediteraneo|Mediteranea]] na [[Bahari Nyeusi]], na kudumu kwa karibu [[milenia]] moja, hadi [[Ukristo]] ulipoanza.
 
Unadhaniwa na wanahistoria wengi kuwa ni [[utamaduni]] anzilishi wa [[ustaarabu]] wa [[Magharibi]]. Utamadunilakini wailiathiri Kigirikipia ulikuwaelimu naya nguvu[[Uislamu|Waislamu]]. kubwaWanafalsafa yana ushawishiwataalamu katikawake [[Dolawa lafani Roma]],mbalimbali ambalowaliweka lilibebamisingi sehemumuhimu ya utamadunimaendelea huoya sayansi katika sehemukarne nyingi za [[Ulaya]]zilizofuata.
 
Hata baada ya Ugiriki kuingizwa katika [[Dola la Roma]], utamaduni wa Kigiriki ulikuwa na nguvu kubwa ya ushawishi.
Ustaarabu wa Ugiriki ya kale umeathiri pia [[lugha]], [[siasa]], mifumo ya [[elimu]], [[falsafa]], [[sayansi]], [[sanaa]], [[ufundi]] sanifu wa dunia ya kisasa, na kuchochea [[Mwamko Mpya]] katika Ulaya Magharibi; na kuchipuka tena katika vipindi mbalimbali vya uamsho wa tamaduni za kisasa za Kigiriki, ndani ya [[karne ya 18]] na [[karne ya 19|ya 19]] katika Ulaya na [[Amerika]].
 
Maendeleo ya elimu katika himaya ya Uislamu yalitegemea kwa kiasi kikubwa kazi ya ufasiri wa vitabu vya Wagiriki kwa lugha ya Kiarabu.
 
Ustaarabu wa Ugiriki ya kale umeathiri pia [[lugha]], [[siasa]], mifumo ya [[elimu]], [[falsafa]], [[sayansi]], [[sanaa]], [[ufundi]] sanifu wa duniaDunia ya kisasa, na kuchochea [[Mwamko Mpya]] katika Ulaya Magharibi; na kuchipuka tena katika vipindi mbalimbali vya uamsho wa tamaduni za kisasa za Kigiriki, ndani ya [[karne ya 18]] na [[karne ya 19|ya 19]] katika Ulaya na [[Amerika]].
 
[[Jamii:Ugiriki ya Kale| ]]