Ugiriki ya Kale : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Ugiriki ya Kale''' ni kipindi katikacha [[historia]] ambapo [[Ugiriki]] ulipanuka katika eneo kubwa la [[Mediteraneo|Mediteranea]] na [[Bahari Nyeusi]], na kudumu kwa karibu [[milenia]] [[moja]], hadi [[Ukristo]] ulipoanza. Wakati wa [[Yesu]], [[kitovu]] cha [[ustaarabu]] huo kilikuwa [[mji]] wa [[Aleksandria]] ([[Misri]]).
 
Unadhaniwa na [[wanahistoria]] wengi kuwa ni [[utamaduni]] anzilishi wa [[ustaarabu]] wa [[Magharibimagharibi]] lakini iliathiri pia elimu ya [[Uislamu|Waislamu]]. Wanafalsafa na wataalamu wake wa fani mbalimbali waliweka misingi muhimu ya maendelea ya sayansi katika karne zilizofuata.
 
[[Wanafalsafa]] na [[wataalamu]] wake wa [[fani]] mbalimbali waliweka misingi muhimu ya [[maendeleo]] ya [[sayansi]] katika [[karne]] zilizofuata.
Hata baada ya Ugiriki kuingizwa katika [[Dola la Roma]], utamaduni wa Kigiriki ulikuwa na nguvu kubwa ya ushawishi.
 
Hata baada ya Ugiriki kuingizwa katika [[Dola la Roma]], utamaduni wa Kigiriki ulikuwa na [[nguvu]] kubwa ya ushawishi.
Maendeleo ya elimu katika himaya ya Uislamu yalitegemea kwa kiasi kikubwa kazi ya ufasiri wa vitabu vya Wagiriki kwa lugha ya Kiarabu.
 
Maendeleo ya [[elimu]] katika himaya ya Uislamu yalitegemea kwa kiasi kikubwa kazi ya ufasiri wa [[vitabu]] vya Wagiriki kwakwenda [[lugha]] ya [[Kiarabu]].
Ustaarabu wa Ugiriki ya kale umeathiri pia [[lugha]], [[siasa]], mifumo ya [[elimu]], [[falsafa]], [[sayansi]], [[sanaa]], [[ufundi]] sanifu wa Dunia ya kisasa, na kuchochea [[Mwamko Mpya]] katika Ulaya Magharibi; na kuchipuka tena katika vipindi mbalimbali vya uamsho wa tamaduni za kisasa za Kigiriki, ndani ya [[karne ya 18]] na [[karne ya 19|ya 19]] katika Ulaya na [[Amerika]].
 
Ustaarabu wa Ugiriki ya kale umeathiri pia [[lugha]], [[siasa]], mifumo ya [[elimu]], [[falsafa]], [[sayansi]], [[sanaa]], [[ufundi]] sanifu wa [[Dunia]] ya kisasa, na kuchochea [[Mwamko Mpya]] katika [[Ulaya Magharibi]]; na kuchipuka tena katika vipindi mbalimbali vya [[uamsho]] wa tamaduni za kisasa za Kigiriki, ndani ya [[karne ya 18]] na [[karne ya 19|ya 19]] katika [[Ulaya]] na [[Amerika]].
{{mbegu-historia}}
[[Jamii:Ugiriki ya Kale| ]]
[[Jamii:Historia ya Ulaya]]
[[Jamii:Historia ya Asia]]
[[Jamii:Historia ya Afrika]]