Ceuta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 12:
Tangu [[Waroma]] walipochukua [[utawala]] wa [[Afrika ya Kaskazini]] mji ulijulikana kwa jina la "Septem Fratres" (ndugu saba). [[Jina]] hili limeendelea hadi leo, mji ukiitwa "sabta" kwa [[Kiarabu]] au kwa matamshi ya [[Kihispania]] "Ceuta".
 
Kuanzia [[karne ya 5]] [[BK]] mji ulitawaliwa na [[Wavandali]].
 
Mwaka [[710]] Waarabu Waislamu walifika wakipita Ceuta kuvamia Hispania. Hadi [[karne ya 14]] mji ulikuwa chini ya watawala Waislamu ama Waarabu au Waberberi. Kati ya [[Wakristo]] waliofia [[dini]] yao huko wanakumbukwa [[watakatifu]] [[Danieli mfiadini]] na wenzake ([[1226]]).
 
Mwaka [[1415]] [[Ureno|Wareno]] waliteka Ceuta wakaitawala hadi mwaka [[1668]]. Baada ya [[vita]] kati ya Ureno na Hispania mji ulikabidhiwa kwa [[mfalme]] wa Hispania.
 
Tangu mwaka [[1668]] Ceuta imekuwa sehemu ya Hispania. Ndani ya Hispania imekuwa Mji wa kujitawala (kwa Kihispania: ciudad autónoma) tangu [[1995]].
 
{{Afrika}}
 
{{Mbegu-jio-Hispania}}