Tofauti kati ya marekesbisho "Uislamu"

30 bytes added ,  miezi 9 iliyopita
Kwa hiyo, kila Muislamu anatakikana wakati anapofanya ibada yake afanye kwa ajili ya Mola wake aliyemuumba akampa kila aina ya [[neema]] na kumtukuza kuliko viumbe vingine vyovyote, kwa kumpa [[akili]], [[fahamu]] na [[elimu]].Nguzo zauislamu :(Umejengwa Uislamu kwa mambo matano: Kushuhudia ya kwamba hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu na kwamba Muhammad ni mja wake na ni Mtume wake, na kusimamisha Swala (tano za kila siku), na kutoa Zaka, na kuhiji nyumba tukufu (Al-ka’abah – ilioko Makkah), na kufunga Mwezi wa Ramadhani) <small>[Imepokewa na Bukhari na Muslim.]</small>.
 
==
== Aina za ibada katika Uislamu ==
Kuna matendo kadhaa ambazo zinaitwa "[[Nguzo tano za Uislamu|Nguzo za Uislamu]]". Kwa kawaida ni tano zinazofundishwa katika [[madhehebu]] ya [[Wasunni]] jinsi inavyoonyeshwa hapo chini.
 
[[Washia]] hawahesabu shahada kati ya nguzo tano wakiona shahada pamoja na imani ya Kiislamu ni msingi kwa nguzo tano halafu wanaongeza "wilayat" yaani kukubali uongozi wa Maimamu kama nguzo ya tano .