Tofauti kati ya marekesbisho "Asilimia"

68 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
d (Bot: Migrating 10 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q11229 (translate me))
'''Asilimia''' (kutoka [[Kiarabu]]) ni njia ya kutaja uhusiano kati ya viasi[[idadi]] mbili viwilitofauti. [[Alama]] yake ni '''<big>%</big>'''. Kiasi kimoja huteuliwa kuwa ni [[namba]] ya 100 ya kiasi kingine. [[Sehemu]] yake ya [[mia]] ni 1 %.
 
Sasa inawezekana kugawa kiasi kingine kwa ile 1% na kuona inashika asilimia ngapi za kiasi husianifu.
 
==Mfano==
Mfano: Jumla ya maksi kwenye [[mtihani]] ni 250. [[Sheria]] inasema ya kwamba 65 % ni sharti kwa kupita. Je, maksi ngapi zinahitajika ila kupita mtihani huu?
 
Jibu: Jumla ni 250, hivyo 250 zachukuliwa kama asilimia [[mia moja]]. Sehemu ya mia moja yaani 1 % ni 2.5. Asilimia 65 ni 2.5, zidisha 65 jumla 162.5. Maana yake kuanzia maksi zisizopungua 163 [[mwanafunzi]] amepita.
 
==Sehemu na asilimia==
Sehemu kama [[sudusi]] haifai vizuri kwa sababu asilimia yake ni 16.66 %.
 
{{mbegu-sayansihisabati}}
[[Category:Hisabati]]