Asilimia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Asilimia''' (kutoka maneno mawili ya [[Kiarabu]] اصل ''asl'' yaani asili, chanzo na مئوية ''mia'' 100 ) ni njia ya kutaja uhusiano kati ya [[idadi]] mbili tofauti. [[Alama]] yake ni '''<big>%</big>'''. Kiasi kimoja huteuliwa kuwa ni [[namba]] ya 100 ya kiasi kingine. [[Sehemu]] yake ya [[mia]] ni 1 %.
 
Sasa inawezekana kugawa kiasi kingine kwa ile 1% na kuona inashika asilimia ngapi za kiasi husianifu.