Busia, Uganda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 5 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1280038 (translate me)
No edit summary
Mstari 25:
}}
 
'''Busia''' ni [[mji]] katika [[mashariki]] mwa [[Uganda]]. Huu ndio mji mkubwa katika [[Wilaya ya Busia, Uganda|Wilaya ya Busia]] na [[makao makuu]] ya [[wilaya]] yako hapo.
 
==Mahali==
Busia iko katika [[Wilaya ya Busia]], mashariki mwa [[Uganda]], kwenye mpaka na [[Kenya]]. Mji huu ni takriban {{convert|202|km|mi}} kwa [[barabara]], mashariki mwakwa [[Kampala]], [[jiji]] kubwa na [[mji mkuu]] wa Uganda. <ref> Distance between Kampala and Busia with Map</ref>
 
==Idadi ya Watu==
Katika [[mwaka]] [[2002]], [[sensa]] ya kitaifa ilikadiriailihesabu idadi ya watu wakazi Busia, Uganda, kuwa wakaazi 36,630. Mwaka [[2008]], Uganda Bureau of Statistics ilikadiria idadi ya wakaaziwakazi wa mji huu kuwa 43,200.
<ref>2002 and 2008 Estimated Populations of Uganda Cities and Towns</ref>
 
 
==Shughuli za Kiuchumi==
Mji huu, pamoja na mji dada yake wa [[Busia, Kenya]] kando ya mpaka, ni vituo vya shughuli za kibiashara[[biashara]] kubwa na trafiki ni nzito katika pande zote mbili. Bidhaa kutoka Uganda ni pamoja na mazao ya biashara kama [[kahawa, pamba]] na [[mbao]] zinazopelekwa katika bandari ya [[Mombasa]] nchini Kenya kwa ajili ya kuuza nje. Vyakula kama [[ndizi, mananasi]] na [[maembe]] zinazopelekwa kwa soko ya [[Kenya]] pia hupita mpakani. Kwa upande mwingine, [[Uganda]] huagiza [[mafuta ya petroli]], bidhaa za viwandani na nyumbani kama [[mafuta ya kupikia, sabuni, nguo,vifaa vya elektronik]] na [[magari]].
 
 
Busia ndio mji wa shughuli nyingi sana mpakani kati ya nchi hizi mbili jirani wanachama wa [[Jumuiya]] ya [[Afrika Mashariki]]. Mji wa mpaka wa [[Malaba]] ulioko takribani {{convert|46|km|mi}} kaskazini, ni wa pili kwa shughuli za kibiashara kati ya Uganda na Kenya katika eneo la pamoja la mpaka wao. Tazama jadwali hapa chini:
 
Busia ndio mji wa shughuli nyingi sana mpakani kati ya nchi hizi mbili jirani wanachama wa [[Jumuiya]] ya [[Afrika Mashariki]]. Mji wa mpaka wa [[Malaba]] ulioko takribani {{convert|46|km|mi}} kaskazini, ni wa pili kwa shughuli za kibiasharabiashara kati ya Uganda na Kenya katika eneo la pamoja la mpaka wao. Tazama jadwali hapa chini:
 
{| class="wikitable"
Line 90 ⟶ 87:
* Tawi la [[Benki ya Equity]]
* Tawi la [[Benki ya Stanbic]]
 
 
==Viungo vya nje==
Line 100 ⟶ 96:
*[[Wilaya ya Busia, Uganda]]
*[[Wilaya ya Busia, Kenya]]
 
 
==Marejeo==
{{reflist}}
 
 
[[Jamii:Miji ya Uganda]]
[[Jamii:Wilaya ya Busia, Uganda]]
[[Category:Cities in the Great Rift Valley]]
[[Category:Kenya–Uganda border crossings]]
{{Mbegu-jio-Uganda}}
{{coord|00|28|01|N|34|05|20|E|region:UG-BUS_type:city(42596)_source:dewiki|display=title}}
[[Jamii:Miji ya Uganda]]
[[Jamii:Wilaya ya Busia, Uganda]]