Alpha Blondy : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Picha |
No edit summary |
||
Mstari 17:
}}
'''Alpha Blondy''' (
Alpha Blondy mara nyingi huimba kwa [[lugha]] ya
== Maisha ya
Alpha ni mtoto wa kwanza katika familia ya watoto tisa, Jina la kuzaliwa ni Seydou Kone amezaliwa mjini Dimbokro mnamo [[1953]]. Alilelewa na bibi yake mzaa mama.
Mnamo mwaka [[1962]], Alpha Blondy alikwenda kukaa na baba yake aliyekuwa anaishi mjini Odienne, Ambapo alikaa kwa muda wa miaka kumi, Baadae akijiunga na shule ya Sainte Elisabeth high school, na kujishughulisha na makundi ya wanafunzi ya Ivory Coast. Hapo ndipo alipo unda bendi. Ingawaje, Upenzi huu uliathiri masomo yake na baadae Blondy alikufukuzwa shule kutokana na maudhulio mabovu shuleni.
Wazazi wake
=== Alivyokuwa Marekani ===
Line 36 ⟶ 35:
Hapo ndipo alipoanza kuonekana kama kazi yake kweli ni uimbaji, na kutumia jina la 'Alpha Blondy'.
== Imani
Ana [[imani]] ya Kirasta ([[Rastafari]])
== Nyimbo
Nyimbo ya kwanza kumpa mafanikio ilikuwa ''Brigadier Sabare''. ni moja kati ya nyimbo zenye ujumbe:
* ''Jah Glory'' - Hii aliimba juu ya upigaji vita umaskini.
Line 72 ⟶ 71:
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.alphablondy.info/ Tovuti Rasmi ya Blondy]
{{mbegu-mwanamuziki}}
{{DEFAULTSORT:Blondy, Alpha}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1953]]▼
[[Jamii:Watu walio hai]]▼
[[Jamii:Wanamuziki wa Cote d'Ivoire]]
▲[[Jamii:Watu walio hai]]
▲[[Jamii:Waliozaliwa 1953]]
|