Hidrati kabonia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza jina
→‎Chakula: kuchangia mada na kuongeza marejereo
Mstari 11:
 
== Chakula ==
Hidrati kabonia ni chanzo cha nishati katika [[chakula]] cha watu wengi. Takriban asilimia 40 - 75 za mahitaji ya nishati ya watu hutokeana na hidrati kabonia. Vyakula vyenye hidrati kabonia nyingi ni vile vyenye wanga hasa [[nafaka]] na vyote vilivyotengenezwa kwa kutumia nafaka kama vile [[ugali]], [[mkate]], [[pasta]], [[wali]] pamoja na mazao kama [[viazi]] na [[ndizi]].
 
Vyakula hivi tofauti vina viwango tofauti vya hidrati kabonia vyakula kama vilivyo undwa viwandani vikiongaza kama vile sukari, mikate na pasta vikifuatwa na nafaka zilizosagwa.<ref>{{Cite web|url=https://ndb.nal.usda.gov/ndb/nutrients/report/nutrientsfrm?max=25&offset=0&totCount=0&nutrient1=205&nutrient2=&subset=0&sort=c&measureby=g|title=Food Composition Databases Show Nutrients List|work=ndb.nal.usda.gov|accessdate=2019-05-17}}</ref> Vyakula kama vile nafaka vinavyopikwa mbila kusagwa zina viwango za chini hidrati kabonia. Hivyo ni muhumi, hasa kwa walio na magonjwa kama vile ya kisukari<ref>{{Cite web|url=http://www.fao.org/3/W8079E/w8079e09.htm|title=Chapter 3 - Dietary carbohydrate and disease|work=www.fao.org|accessdate=2019-05-17}}</ref> au hali za kimwili kama vile wanariadha<ref>{{Cite journal|last=Kanter|first=Mitch|date=2018-1|title=High-Quality Carbohydrates and Physical Performance|url=https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC5794245/|journal=Nutrition Today|volume=53|issue=1|pages=35–39|doi=10.1097/NT.0000000000000238|issn=0029-666X|pmc=PMCPMC5794245|pmid=29449746}}</ref> wanaohitaji viwango fulani cha nichati kuwa wangalifu na ikiwezekana kupima viwango vya hidrati kabonia kwa vyakula vyao. Kuna jia tofauti vya kuhesabu hidrati kabonia katika chakula ikiwemo vikokotoovilivyo mitandaoni<ref>{{Cite web|url=http://www.fao.org/3/y5022e/y5022e04.htm|title=CHAPTER 3: CALCULATION OF THE ENERGY CONTENT OF FOODS - ENERGY CONVERSION FACTORS|work=www.fao.org|accessdate=2019-05-17}}</ref><ref>{{Cite web|url=https://calculator.academy/net-carbs-calculator/|title=Net Carbs Calculator|language=en-US|work=Calculator Academy|accessdate=2019-05-17}}</ref>.
 
Katika utamaduni chache watu hula kabohidrati kidogo na karibu chakula chote ni [[protini]] ya kinyama kama vile kati ya [[Eskimo]] au [[Massai]] wanaokula hasa [[protini]] lakini mwili unaweza kubadilisha [[protini]] kuwa kabohidrati isipokuwa lishe yake inapungua.
 
== Tanbibi ==
{{reflist}}
 
== Marejereo ==
* https://en.wikipedia.org/wiki/Carbohydrate
 
{{mbegu-biolojia}}