Hidrati kabonia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Chakula: kuchangia mada na kuongeza marejereo
No edit summary
Mstari 1:
'''Hidrati kabonia''' (pia: '''kabohidrati''' au '''hamirojo''') ni [[kampaundi ya kikemia]] inayojengwa kwa [[oksijeni]], [[hidrojeni]] na [[kaboni]]. Katika [[kemia]] huitwa kwa jumla kwa [[jina]] "[[sukari]]" hata kama sukari kwa [[lugha]] ya kawaida ni sehemu tu ya hidrati kabonia tukabohidrati.
 
Hidrati kabonia ni kati ya molekuli[[molekyuli]] muhimu zinazojenga [[viumbehai]] na mimea [[duniani]]. Kazi zaozake ni nyingi: kwwakwa mfano, kuhifadhi na kubeba [[nishati]] ([[wanga]]) ndani ya [[mwili]] wa [[wanyama]] na [[mimea]] au kujenga mwili kwa [[umbo]] la [[selulosi]] au [[chitini]] cha [[wadudu]].
 
Umbo la kimsingimsingi wa hidrati kaboniakabohidrati ni [[monosakaridi]] (C<sub>n</sub>(H<sub>2</sub>O)<sub>n</sub>) zinazoungana kuwa aina nyingine za kabohidrati.
 
Aina za hidrati kabonia ni kwa mfano:
Mstari 11:
 
== Chakula ==
Hidrati kabonia ni chanzo cha nishati katika [[chakula]] cha [[watu]] wengi. Takriban [[asilimia]] 40 - 75 za mahitaji ya nishati ya watu hutokeanahutokana na hidrati kabonia. [[Vyakula]] vyenye hidrati kabonia nyingi ni vile vyenye wanga, hasa [[nafaka]], na vyote vilivyotengenezwa kwa kutumia nafaka kama vile [[ugali]], [[mkate]], [[pasta]], [[wali]] pamoja na [[mazao]] kama [[viazi]] na [[ndizi]].
 
Vyakula hivihivyo tofauti vina viwango tofauti vya hidrati kabonia: vyakula kama vilivyo undwavilivyoundwa viwandani vikiongaza kama vile sukari, mikatemkate na pasta vikiongoza vikifuatwa na nafaka zilizosagwa.<ref>{{Cite web|url=https://ndb.nal.usda.gov/ndb/nutrients/report/nutrientsfrm?max=25&offset=0&totCount=0&nutrient1=205&nutrient2=&subset=0&sort=c&measureby=g|title=Food Composition Databases Show Nutrients List|work=ndb.nal.usda.gov|accessdate=2019-05-17}}</ref> Vyakula kama vile nafaka vinavyopikwa mbilabila kusagwa zina viwango zavya chini vya hidrati kabonia. Hivyo ni muhumimuhimu, hasa kwa walio na [[magonjwa]] kama vile ya [[kisukari]]<ref>{{Cite web|url=http://www.fao.org/3/W8079E/w8079e09.htm|title=Chapter 3 - Dietary carbohydrate and disease|work=www.fao.org|accessdate=2019-05-17}}</ref> au hali za kimwili kama vile [[wanariadha]]<ref>{{Cite journal|last=Kanter|first=Mitch|date=2018-1|title=High-Quality Carbohydrates and Physical Performance|url=https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC5794245/|journal=Nutrition Today|volume=53|issue=1|pages=35–39|doi=10.1097/NT.0000000000000238|issn=0029-666X|pmc=PMCPMC5794245|pmid=29449746}}</ref>, wanaohitaji viwango fulani cha nichati, kuwa wangalifu na ikiwezekana kupima viwango vya hidrati kabonia kwakatika vyakula vyao. Kuna jianjia tofauti vyaza kuhesabu hidrati kabonia katika chakula, ikiwemo vikokotoovilivyo[[kikokotoo|vikokotoo]] vilivyo [[Mitandao ya kompyuta|mitandaoni]]<ref>{{Cite web|url=http://www.fao.org/3/y5022e/y5022e04.htm|title=CHAPTER 3: CALCULATION OF THE ENERGY CONTENT OF FOODS - ENERGY CONVERSION FACTORS|work=www.fao.org|accessdate=2019-05-17}}</ref><ref>{{Cite web|url=https://calculator.academy/net-carbs-calculator/|title=Net Carbs Calculator|language=en-US|work=Calculator Academy|accessdate=2019-05-17}}</ref>.
 
Katika utamaduni[[tamaduni]] chache watu hula kabohidrati kidogo na karibu chakula chote ni [[protini]] ya kinyama[[nyama]], kama vile kati ya [[Eskimo]] au [[MassaiWamasai]] wanaokula hasa [[protini]], lakini mwili unaweza kubadilisha [[protini]] kuwa kabohidrati isipokuwa [[lishe]] yake inapungua.
 
== Tanbibi ==
{{reflist}}
 
== MarejereoMarejeo ==
* https://en.wikipedia.org/wiki/Carbohydrate
 
Mstari 26:
{{mbegu-kemia}}
 
[[Jamii:Kampaundi za kikemiaKemia]]
[[Jamii:Chakula]]